NMB Kanda ya Ziwa yamwaga vifaa kuelekea kilele cha Mwenge wa Uhuru Chato

0
74

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa – Baraka Ladislaus akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Geita – Rosemary Senyamule traksuti 500, miavuli 500 na fulana 30 zitakazo tumika na halaiki kwenye kilele cha Mwenge Maalum wa Uhuru utakaofanyika kesho wilayani Chato.

Kushoto (Mwanzo) ni Josephine Kulwa, Meneja Mahusiano ya Serikali. Hafla hiyo ya Makabidhiano ilifanyika jana wilayani Chato.

Source: mtanzania.co.tz